Theme
Resource
Year
Language
Sustainable Development Goals



The Mysteries of Jabali and Sauti Audiobooks
The Mysteries of Jabali and Sauti are part of ‘Tisa’, a transmedia universe designed to excite and engage children in a world of possibility and wonder to be enjoyed and engender a love of reading for joy. Created, written, and produced by three Kenyan creative houses (LAM Sisterhood, StudioAng, and Kikapu.Studio), Jabali and Sauti can be enjoyed through storybooks, comics, animations, motion comics, and games. Journey through the Tisa Universe as you follow Jabali and Sauti solve mysteries of the Shining Trees, the Shining Ghost, the Fallen Star and many more. These 18 Audiobooks are designed for children aged 4-13 and available in English.
Mafumbo la Jabali na Sauti ni sehemu katika eneo la ‘Tisa’, ulimwengu wa vyombo vya Habari ulioundwa kushawishi na kuwashirikisha watoto katika dunia ya uwezekano na maajabu ya kufurahia na kuzalisha upendo wa kusoma kwa furaha. Haidithi hizi ziliundwa, ziliandikwa, na kutayarishwa na nyumba tatu za ubunifu za Kenya (LAM Sisterhood, StudioAng, na Kikapu.Studio), hadithi za Jabali na Sauti zinaweza kufurahiwa kupitia vitabu vya hadithi, vichekesho, michoro, katuni za kusonga, na michezo. Safiri kupitia Ulimwengu wa Tisa unapoandamana na Jabali na Sauti kutatua mafumbo ya Miti Inayong’aa, Roho Inayong’aa, Nyota Iliyoporomoka na mengine mengi. Vitabu hivi 18 vya Sauti vimeundwa kwa watoto wenye umri wa miaka 4-13 na vinapatikana kwa Kiingereza.
Episodes
Theme
Resource
Year
Language
Sustainable Development Goals


Content development partners
You might also be interested in


