Theme
Resource
Language
Sustainable Development Goals



Majivu ya nyumbani na maji ya kijivu
Video hii ya Kiswahili isiyo na malipo yoyote iliundwa ili kusaidia wakulima na wataalamu wa maendeleo wa Afrika Mashariki ili kujifunza jinsi ya kutumia majivu ya nyumbani na maji ya kijivu, yanayozalishwa kila siku na kaya, kwa ajili ya kurutubisha mazao.
Kufikia wakati wanakamilisha video hii, wanaojifunza wataweza:
• Kuelezea faida za kutumia tena majivu ya nyumbani na maji ya kijivu kama mbolea ya asili kwa mazao.
• Kuelezea mchakato wa kukusanya na kutumia majivu ya nyumbani na maji ya kijivu kwenye mazao.
Video hii inapatikana kwa lugha ya Kiingereza na pia Kiswahili.
Video hii fupi ya mafunzo ilitengenezwa na Wakfu wa Aga Khan (AKF). Video hii ilitengenezwa kama sehemu ya mipango ya wakfu wa Aga Khan ya uimara wa mabadiliko ya tabianchi
Kazi hii imetolewa chini ya leseni ya Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives License. Unaweza kuiona nakala ya leseni hii hapa.
This free training video in English was developed to help farmers and development practitioners in East Africa learn how to re-use domestic ash and grey water, generated daily by households, to fertilise crops.
By the time they complete the video, learners will be able to:
- Describe the advantages of re-using domestic ash and grey water as natural fertiliser for crops.
- Describe the process of collecting and applying domestic ash and grey water to crops.
This video is also available in English and Swahili.
This short training video was developed by the Aga Khan Foundation (AKF). The video was produced as part of AKF’s climate resilience and regenerative farming programmes.
This work is licensed under the Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives License. You can view a copy of this license here.
Theme
Climate Resilience
Resource
Language
Sustainable Development Goals



Content development partners
You might also be interested in


