Theme
Resource
Language
Sustainable Development Goals



Viuatilifu asili
Video hii ya mafunzo, ipo kwa Kiingereza imeandaliwa kwa ajili ya wakulima wa Afrika Mashariki wenye uhitaji wa kutengeneza viutatilifu kwa kutumia malighafi zinazopatikana shambani mwao.
Kwa kukamilisha kungalia video hii, anayejifunza ataweza kufanya yafuatayo:
–Kuelezea faida za kutengeneza viutatilifu asili- biospray badala ya kununua mbolea zenye kemikali
–Kuelezea viambata vinavyohitajika kuzalisha viutilifu asili – biospray, na
–Kuelezea mchakato wa kutengeneza viuatilifu – biospray asili na kuitumia kwenye mazao
Video hii inapatikana pia kwa Kiingereza na Kiswahili
Video hii fupi ya mafunzo imeandaliwa na Aga Khan Foundation.
Video hii imezalishwa ikiwa sehemu ya programu ya Aga Khan Foundation kuhimili mabadiliko ya tabia ya nchi, kilimo na ya usalama wa chakula
Kazi hii imepata leseni chini ya Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives License. Kuangalia nakala ya leseni, bonyeza hapa.
This free training video in English was developed for farmers in East Africa who want to make their natural pesticides using inputs available on their farm.
By the time they complete the video, learners will be able to:
– Describe the advantages of making biospray instead of purchasing chemical pesticides,
– Describe the ingredients needed to produce biospray, and
– Describe the process of making biospray applying it to crops.
This video is also available in English and Swahili.
This short training video was developed by the Aga Khan Foundation. The video was produced as part of the Aga Khan Foundation’s climate resilience and regenerative agriculture programmes.
This work is licensed under the Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives License. To view a copy of this license, go here.
Theme
Climate Resilience
Resource
Language
Sustainable Development Goals



Content development partners
You might also be interested in


