Seti ya Shughuli za Michezo

Description

Vifaa hivi vya Kucheza vya Maktaba ya Jamii katika lugha ya  Kiingereza viliundwa kwa ajili ya maktaba ya jamii.

Kwa kutumia Kifaa hiki cha Kucheza, utaweza:

– kujifunza jinsi ya kutumia shughuli za kufurahisha katika maktaba yako

– kutumia upya rasilimali za gharama nafuu na zinazopatikana kwa urahisi katika mazingira yako kuwa vifaa vya shughuli

– kubadilisha nafasi za maktaba kuwa za kufurahisha na kuvutia kwa watoto

Michezo hizi ziliendelezwa na kikapu.studio kama sehemu ya ruzuku ya LEGO Covid Response nchini Kenya.

Michezo hizi pia zinapatikana kwa Kiingereza, Kiswahili, Lugbarati, na Aringati

These Community Library Playkits in English were designed for community librarians.

By using this Playkit, you will be able to:

– learn how to use fun activities in your library
– repurpose low-cost and locally available resources into activity materials
– reimagine library spaces to be fun and engaging for children

These activities were developed by kikapu.studio as part of the LEGO Covid Response grant in Kenya.
These activities are also available in English, Kiswahili, Lugbarati, and Aringati.

Theme

COVID-19

Early Childhood Development

Education

Type

Document

Categories

Toolkit

Year

2023

Sustainable Development Goals

  • SDG 4 Quality Education

Content development partners

You might also
be interested in