Theme
Resource
Category
Year
Sustainable Development Goals
The Mysteries of Jabali and Sauti Storybooks
The Mysteries of Jabali and Sauti are part of ‘Tisa’, a transmedia universe designed to excite and engage children in a world of possibility and wonder to be enjoyed and engender a love of reading for joy. Created, written, and produced by three Kenyan creative houses (LAM Sisterhood, StudioAng, and Kikapu.Studio), Jabali and Sauti can be enjoyed through storybooks, comics, animations, motion comics, audio books and games. Journey through the Tisa Universe as you follow Jabali and Sauti solve mysteries of Howling Wind, the Lion’s Roar, the Fallen Nest, and many more. These 16 Storybooks are designed for children aged 4-8 and available in English and Kiswahili.
Mafumbo ya Jabali na Sauti ni sehemu katika eneo la ‘Tisa’, ulimwengu wa vyombo vya habari ulioundwa kushawishi na kuwashirikisha watoto katika dunia ya uwezekano na maajabu ya kufurahia na kuzalisha upendo wa kusoma kwa furaha. Hadithi hizi ziliundwa, ziliandikwa, na kutayarishwa na nyumba tatu za ubunifu za Kenya (LAM Sisterhood, StudioAng, na Kikapu.Studio), hadithi za Jabali na Sauti zinaweza kufurahiwa kupitia vitabu vya hadithi, vichekesho, michoro, katuni za kusonga, vitabu vya sauti, na michezo. Safiri kupitia Ulimwengu wa Tisa unapoandamana na Jabali na Sauti kutatua mafumbo ya Upepo Unaolia, Mlio wa Simba, Kiota Kilichoanguka, na mengine mengi. Vitabu hivi 16 vya Hadithi vimeundwa kwa watoto wenye umri wa miaka 4-8 na vinapatikana kwa Kiingereza na Kiswahili.