Majani ya viazi tamu

Theme

Agriculture and Food Security

Health and Nutrition

Type

Video

Sustainable Development Goals

  • SDG 2 Zero Hunger
  • SDG 3 Good Health and Well-Being
  • SDG 12 Responsible Consumption and Production

Video Description

Viazi tamu nitamu sana, lakini ulijua kua majani ya mti wake yanaliwa pia? Sio hayo tu, majani ya viazi tamu yana lishe ya hali ya juu. Hi video fupi ya mafundisho inalenga watu wa Afrika mashariki ambao hawana ufahamu kua majani ya viazi tamu yanaliwa, yana ladha na ni mazuri sana kwa afya. Inaeleza thamani ya majani ya viazi tamu na pia kwa ufupi namna ya kuyapika. Inaonyesha kwa kiurahisi mapishi ya kuitayarishia familia chakula tamu chenye kuhusisha maharagwe, Samaki au nyama na Pamoja na majani ya viazi tamu. Na wewe jaribu pia!

Uundaji wa video hii ulisaidiwa na AMFRI Farms Ltd na Food & Beverage Madagascar.

This free training video in Swahili was developed for people in East Africa seeking a healthy and nutritious diet using sweet potato leaves.

By the time they complete the video, learners will be able to:

 – Describe the properties of sweet potato leaves, including the fact that they are edible, healthy, and tasty,

– Describe the nutritious value of sweet potato leaves, and

– Prepare a simple family meal based on beans, fish, or meat that includes sweet potato leaves.

This video is also available in English and Portuguese.

This short training video was developed by the Aga Khan Foundation with the support of AMFRI Farms Ltd. and Food & Beverage Madagascar. The video was produced as part of the Aga Khan Foundation’s agriculture and food security programme.

This work is licensed under the Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives License. To view a copy of this license, go here.

You might also
be interested in