Banana Grass

Theme

Agriculture and Food Security

Type

Video

Video Description

Siku hizi kuna wakulima wengi Afrika Mashariki hupambana kukuza lishe ya kutosha kulisha wanyama wao. Hii ni kwa sababu wako na ardhi ndogo, isio kua na rutba ya kutosha, isio mwagiwa maji ya kutosha ama kwa sababu ya hali ya anga isio tabirika. Lakini kuna mti murwa unaoitwa ‘banana grass’ ambao si vamizi na kimaumbile uko imara, huchangia nishati zake zote katika kutowa majani tele. Ni mti ambao huweza kuishi kwa muda mrefu na kukua kwa haraka wenye kuhitaji huduma za chini. Haya yote yanafanya mti huu kuwa bora kuupanda shambani na kulisha wanyama.

Hii video fupi inaeleza faida na tabia/maumbile ya ‘banana grass’ na kumueleza mkulima namna ya kuupanda, kuutunza, na kuvuna ili kulisha wanyama.

Uundaji wa video hii ulisaidiwa na AMFRI Farms Ltd na Food & Beverage Madagascar.

These days, there are many farmers in East Africa struggling to grow enough fodder to feed their animals – because their land is too small, not fertile enough, not irrigated enough, or simply because the climate has become so unpredictable.

But there is one amazing plant, called bana grass, which is non-invasive and genetically stable and which invests all its energy into producing its lush leaves. It’s a plant that can live long and grow fast – with minimal care. All of this makes it ideal for growing and for feeding livestock.

This short instructional video explains the benefits and characteristics of bana grass and explains to farmers how they can plant it, take care of it, harvest it, and feed it to their animals.

The development of this video was supported by AMFRI Farms Ltd. and Food & Beverage Madagascar.

You might also
be interested in