Theme
Resource
Sustainable Development Goals
The Mysteries of Jabali and Sauti Motion Comics
The Mysteries of Jabali and Sauti are part of ‘Tisa’, a transmedia universe designed to excite and engage children in a world of possibility and wonder to be enjoyed and engender a love of reading for joy. Created, written, and produced by three Kenyan creative houses (LAM Sisterhood, StudioAng, and Kikapu.Studio), Jabali and Sauti can be enjoyed through storybooks, comics, animations, motion comics, and games. Journey through the Tisa Universe as you follow Jabali and Sauti solve mysteries of the vanishing Child, the Stolen Fear, the Magic, and many more. These six motion comics are designed for children aged 9-13 and available in English.
Mafumbo ya Jabali na Sauti ni sehemu katika eneo la ‘Tisa’, ulimwengu wa vyombo vya Habari ulioundwa kushawishi na kuwashirikisha watoto katika dunia ya uwezekano na maajabu ya kufurahia na kuzalisha upendo wa kusoma kwa furaha. Hadithi hizi ziliundwa, ziliandikwa, na kutayarishwa na nyumba tatu za ubunifu za Kenya (LAM Sisterhood, StudioAng, na Kikapu.Studio), hadithi za Jabali na Sauti zinaweza kufurahiwa kupitia vitabu vya hadithi, vichekesho, michoro, katuni za kusonga, na michezo. Safiri kupitia Ulimwengu wa Tisa unapoandamana na Jabali na Sauti kutatua mafumbo ya Mtoto Anayetoweka, Hofu Iliyoporwa, Uchawi, na mengine mengi. Katuni hizi sita za kusonga zimeundwa kwa watoto wenye umri wa miaka 9-13 na zinapatikana kwa Kiingereza.